2025-06-29 01:13:11
Great job kwa kuleta kitu cha maana kama hiki chuoni kwetu. Sometimes ilikuwa hard kujua kinachoendelea, but sasa mambo yako organized na clear. Ningependa tu kuona app version soon, but otherwise hii site ni bomba!
2025-06-29 01:11:06
Nimefurahishwa sana na jinsi ambavyo ATC Community imerahisisha mawasiliano kati ya wanafunzi. Unaweza kushare taarifa zako, kuona fursa, na hata ku-connect na wanafunzi wa kozi nyingine kirahisi kabisa. Pia naipenda design yake – simple but powerful! Hii platform ni more than a website, ni sehemu ya kujenga familia ya wana-ATC. Big up kwa developer, umetisha!"